On-screen text
M.Y.S.E.L.F
@4_ur_page
Bado siamini mimi...
Naona kama ni miujiza.....(Miujiza)
Asilimia tisini...
Walisema tunaigiza...(Tunaigiza)
Wakajiipa dhamini...
Wakajiipa dhamini...
Kwanye imani, nguvu za gliza...
Mara ooh wa nini.....
Ana nyota ya yai viza.....
Ona sasa ona.....
Okocha J J.....
Tupo kwa Mwamposa everyday.....
Penzi kudondoka, Nei Nei.....
Sababu wewe ndo wangu.....
Malaika, malaika.....
Wewe ndo wangu malaika.....
Umekosa tu mabawa.....
Wewe ndo wangu malaika.....