Original caption
Replying to @junita Tuko bado kwa nyumba ya Priscilla, washing machine imeketi vizuri, na sasa Shiquo na Priscilla wamebaki wakiongea heart to heart. Priscilla anasema vile hii machine itam-change life, Shiquo anamsikiza na kum-encourage. Kuna kucheka, kuna kushikana, kuna ile feeling ya rafiki wa ukweli anakuja kwako si tu kuuza kitu, ni ku-share joy! Na sasa ndio tumetoka nje kidogo kwa balcony, tunaangalia mahali machine ita-drain maji, tunaona kamba za nguo, mop, na place ya ku-anika. Shiquo ana-explain na fundi wa Dola vile tuta-connect kila kitu ndio kazi ianze! Customer hii ndio maana nasema intentional friendship, si ku-deliver tu na kuenda, ni kuhakikisha kila kitu iko sawa na rafiki yako ame-furahi! #askshiquo #Shiquo #HiiStyle #nairobitiktokers #IntentionalFriendship