Hook
More breakout videos from this creator.
This isn't the story you think it is... Advance nilisema PCB na nikafeli. Growing up nilikuwa one among the best students in school kuanzia primary kwamba yaani hadi niliwahi kuruka from standard 5 kwenda direct form one. So my parents had high expectations of me. My family wetegemea mambo makubwa. Lakini nafika advance nikafeli PCB. That day niliishi kwamba maisha yangu yameishia. I cry I have never cried kiasi kile. Na kwa nini nililia? Sio kwa ndoto zangu zilikuwa zimekufa pale. Sikuwahi kuwa na specific kazi ya kunifikisha sehemu fulani. All I wanted is to make my family poor kuji na furaha mwenyewe. Nakua na pesa. So my parents wa kwanza akasema I know akili unayo uwezo unao. Haya matokeo yakuwa yuko kwa sababu ya haya matokeo ya sasa hivi. Points ulizonazo ilikuwa na free ile ya kwanza. Points ulizonazo zakuweza kwenye degree yoyote na tutaenda kwenye degree yoyote ile. So kwa hiyo kwa sababu ya ile introduction ingenipa maisha ambayo I had dream kama maisha ambayo nawaweza nikayapata. Ni ndoto ambazo nilikuwa nazo lakini sikweza kuze kwa sababu sikuwa na specific job title ya kwenye society ambayo inakubalika. Majina yangu ni Grace and nafanya kazi na watu mbali mbali. I help people improve their health. I help people build businesses. I help ordinary people achieve extraordinary results with the business that are building right now.