Original caption
Sorry Iftizam 😭💔 hii betrayal imekupata. Jamaa wako amekucheat, na ako na dame mwingine amekuwa akikaa naye secretly. I’m sorry sana 😭💔 wamekuwa pamoja for a long time, na leo ndio ameamua kumshow off hadharani. Honestly, hiyo ni kitu ya kuumiza sana 😭💔#garre #fyp #viral