Hook
More breakout videos from this creator.
Wasee. Mnajua hii body imepitia nini? Wacha niwaambie. Get ready, get ready, get ready. Wao wanagawa do. Repeat! Mi napigwa gospel moja mara arobaini bila break. Matanga, ushago, kwaya haiishi. Saa kumi asubuhi hata mimi nilianza kusinzia. Majirani wakibisha, mi najifanya nimezima. Wakienda, tunarudi! Hii sukuti ikianza, hata mimi nacheza. Sikujua niko na waist. Barabara, maji, stima, eh? Hizi ahadi nimeziamplify tangu 2000. Nimedui yote, bado tuko works. Harusi Saturday? Wabebé! Vision Plus Beatbox. Nime-do yote. Bado tuko works.