Hook
Hivi wiki nilikuwa na craving ya tumbukiza, so, nilipika kwa bedsitter yangu midnight, kama kila mtu amelala. So nyama nimechemsha ndio hiyo hapo. Ukienda kwa butchery unaweza itisha hii nyama. Piga picha uonyeshe. Jina sijui venye inaitwa exact type of meat. Wenye wanajua comment down below. So, tumechemsha na maji, some salt hapo. Hauweki mafuta. Tafadhali tumbukiza msiweke mafuta. Then hivi ndio inakaa after boiling for like 30 minutes hivi. Then nimeweka ginger, garlic. Then ikaendelea kuchemka. Meanwhile nilikuwa nakata kata hizi hoho, nyanya na kitunguu. Unaweza weka kitu unataka. Kuna wenye wanaongeza hadi carrot, but hizi ndio nimeweka pekee yake. Hakuna spice, hakuna madoido mingi kwa tumbukiza. Ni one of the simplest meals to cook. Though nimeweka viazi, viazi sijakata ndogo, nimekata kubwa kubwa ndio zisi overcook. Then nimefunikia hapo for like let's say 25 minutes hivi, zikaiva but isikuwe too soft. Then spinach, spinach wekelea hapo tu juu juu, uturn kitu kama 1 minute, isi overcook. Hivi ndio inakaa, very, very soft. Nilikuwa nakula na some leftover ugali. Yes, tengeneza, tag me below, let me know how it goes. Asante sana kwa kustop by. Follow the page kama hujafollow.
More breakout videos from this creator.