Hook
Kama mzazi ameyalipa campus fee enda usome uwache ujinga. Hii ujinga mnakuanga nayo ya sijui ku-hang out na marafiki, sijui kushinda kwa simu ukijibonyeza bonyeza, kuchat chat sijui nini nini, sijui mara umemiss class juu ulienda rave sijui sherehe sijui nini, alafu umeanza ku-skip classes. My friends, this is not your parents' life. This is your life. Mzazi alisoma yake akafikisha kwenye alifikisha. Saa hizi anajaribu kufanya lolote anaweza just to give you a better life. So the least thing that you can do kama uko na akili timamu is to be disciplined, committed, focused, hardworking na u-focus on building your life. Hizo vitu zote za sherehe sijui nini utazifanya. There will come your time. Hiyo script unajaribu kusoma, imagine wazazi waliandika. Walipitia hapo. They made those mistakes and that is why they don't want you to make the same mistakes. So it's not that wanakuchukia, it's not that they are so all too harsh on you, it's just that they made their mistakes and they don't want you to make the same mistakes again. Wacha ujinga, skiza wazazi, skiza mentors, skiza your elders na utaenda mbali.
More breakout videos from this creator.