Hook
Ukitaka kuposti video yako hivi utaweza kwenda viral sana. Utaweza kutengeneza followers wengi kwa muda mchache kwa sekunde kwa dakika chapo. Nataka nikuelekeze kama utojali kutengeneza video trending sawa? Eh hii ndio simu yako sawa? Eh utachukua video au picha ambayo unayo utabonyeza hapa then utacreate utabonyeza hapa pameandikwa create sawa? Ukishabonyeza create njoo sehemu pameandikwa autocut. Bonyeza autocut. Chagua video naweza nikachukua labda picha hii hapa hii au video hii hapa unaona eh? Then uta next. Eh uta next. Video yetu ni hii hapa imetulia. Eh mshikaji mmoja wetu wa Planet Bongo katoa ngoma yake mpya so ndio tunaitumia hapa saa hii unaona eh? Kwa hiyo utabonyeza hapa sawa? Unaona? Yaani template zipo nyingi utachagua ipi uweke uwe trending. Posti video kwa kutumia autocut. Utrending.
More breakout videos from this creator.