Hook
More breakout videos from this creator.
Aiya. Kuna hii dawa inajiita, kuna hii dawa inajiita Cetirizine. Cetirizine ni antihistamine. Antihistamine, it's good for relieving, especially watu wenye macho inafanya kwa macho, inasaidia itchy or watery eye. Unaona? To relieve itchy and watery eye, allergic reaction, vitu kama hizo. But sasa, it's some good news. Nasikia sasa hizi, ladies, mnatumia Cetirizine. I don't know how you are using it, but nimekutana na hizo story and I was like, oh. Ati, za hizi mnachukua Cetirizine mnatumia kufanya nini, kasusu kawe kadogo? Ati kasusu kawe kadogo na Cetirizine? Why are you misusing drugs? Why are you misusing drugs? Sasa ladies, mko na mambo kweli. Mtawa wakati mji, mnachukua ndimu, mnafinya, mnaweka kwa maji moto, mnakalia, sijui mnafanya nini, si team inapanda. Inareduce. Sasa hizi mnazidi mko kwa Cetirizine. Wenye mnajua, hebu mko kwa comment section hapo, mnasema mnafanya, mnatumia aje? Juu sielewi. Ama mnakunywa, mnakunywa alafu inateremka chini inakuwa. Hata mnafanya mimi ule mwalimu alinifundisha, eh, hapana, mpaka naanza kumshuku. Eh? Cetirizine, Cetirizine. Iko na antihistamine. Mimi mara siielewi. Kuna kitu siielewi. Kuna kitu siunderstand. Ladies, mtawa mtawa mambo jo. Mara siielewi. Kwani lazima, Cetirizine, cheza na nani?