Yeah, sasa ni watu wangu so natumai mko poa. So manze finally nimeweza kumanage kurent my apartment kama venye mnaona makaratasi mingi hapa. Si mnaona? Mbele ni sijawahi kuwa na apartment because nimekuwa nikishi na roommate. But for today nikaamua you know what, this place is so cheap because roommate is charging almost the same with an apartment. And you know what, acha mimi mwenyewe niweze ku-have my own apartment. So let's go take a tour because I have to do the investigation, the, the, the, tunaitanga aje, inspection. In any case nitaona any problem, nitaweza ku-document na niweze kuwaambia surrounding look like. Kuna ka-swimming pool hapo. Hizi ni manyumba za zamani. By the way kama hamjawahi notice, hii Amerika inakuwanga na manyumba moja ya mzee mzee. Yeah, so nilikuwa nawambia manyumba huku ni za zamani, ni zile mzee mzee. Huku Amerika ni ngumu sana kupata ati ni nyumba mpya. Yeah, so my apartment ni hii. So apartment yangu ni hii, building 184. Ni manyumba za zamani. Huku Amerika ukitaka hata manyumba za 1970 something unaweza kuzipata. Yangu iko huku upstairs. Na kama vile mnaona ndio hii. So kuna hii, kuna huyo jirani hapo. Na kuna hii. Hii ndio nyumba yangu manze. Alafu hii nyumba unaona ni ile ya zamani because hata haina passcode. Najua nyumba za zamani zinakuwanga na passcode. So yeah. So this is how the apartment look like. Hii apartment, hii apartment nalipa 780, ah no, 866 dollars in total about everything. Hawa wasee hawajaconnect steam, ni wajinga. Look at this. Yeah, so this is how the apartment look like. Unaona? So kuna hiyo mashine hapo. Sijui ni ya nini hii. I don't think this is the room yenye walikuwa wamenionyesha. I'm not sure. I'm not quite sure kama this is the room walikuwa wamenionyesha. Kuna hii, kuna hii kitchen hapa. Switch yake ndio hiyo. Alafu nyumba za huku Amerika kama mta kuja kutambua, zinakuwanga na, this is the normal thing kwa nyumba za Amerika. Zinakuwanga na hii na kuka. Zinakuwanga na fridge. That's mandatory. Zinakuwanga na fridge. Na washer. Washer and dryer. Manyumba zingine zinakuwanga na washer and dryer but washer and dryer yangu iko huko nyuma. So hii nayo ni the bedroom. So tuko na sitting room hapa na the bedroom hapa. Si mnaona? So this is the bedroom kama venye mnaiona. So I have to put in the, I have to put hapa kwamba, kwamba nini? Kwamba hiyo haifanyi. And now this is the bathroom. The bathroom hata ndio hiyo inafanya kazi. Si mnaona? Oh manze, I don't like this shit. Sometime cheap is expensive. Eh? Sometime kuchukua vitu kama hizi, alafu closet. Ndio maana mimi napenda Kenya. Yaani Kenya I can afford to buy myself, to build myself a house but hapa Amerika you have to rent manze. Eh? Si mnaona? So yeah, that's how the house look like. I don't like it at all. But it's better ku, it's better kuwa hii nyumba kuliko kukaa na mtu because roommate nilikuwa napata na 750. Roommate nilikuwa napata na 750. Kuna ka-mlango kingine hapo. Acha tuangalie kama kuna hapo kwa balcony. Yeah, niko na ka-balcony yangu hapa nyuma manze. Unaona? But mimi hata huwezi nipata huku nje. Eh? So hii nyumba nalipa 866 dollars alafu najilipia steam akado. Look at it. Na iko na dirisha. So hii ni sitting room. Hata sijui ni nini nitaweka hapa sitting room. Yeah, so that's it guys. Acha niweze kufill hii form ya inspection na tutaweza kujua ni aje. Asante.