Loading video…
Hook
More breakout videos from this creator.
Kama umewahi kufuta picha kwenye recently deleted ukahisi kwamba hizo picha zimejifuta basi ni uongo. Hizo picha zinakuwepo na kuna jinsi ya kuzipata. So kabla sijakuonyesha make sure umenifollow, umelike na kushare this video to your friends if you find it useful. Nenda kwenye search engine yoyote whether Google then andika www.icloud.com itakuletea pale jinsi ya kulogin iCloud yako utalogin then utakuja upande wa picha itakuletea picha zote zile ambazo umewahi kufuta na zile ambazo hujawahi kuzifuta. Follow us for more tips like this.