Loading video…
Hook
More breakout videos from this creator.
Wengi wenu mna-post picha WhatsApp status zinapungua quality kwa sababu kuna setting za muhimu hamjaweka kwenye simu zenu. Leo naenda kukufundisha hizo settings. Lakini before sijafanya hivyo make sure umenifollow kwa sababu huwa naposti tech tips kama hizi kila siku. Umeshare this video to your friends na kuisave for later. Nenda kwenye WhatsApp yako. Ukishafungua settings, njoo hapa kwenye storage and data. Yes, utakuja hapa kwenye upload quality. Utakuta ipo kwenye standard. Unatakiwa uweke kwenye HD mode. Inamaanisha hapa picha zako ukiwa unaposti zinakuwa zina-upload at the highest quality.