Hook
More breakout videos from this creator.
Kama simu yako unaichajisha baada ya mara mbili au mara tatu kwa siku, stop mara moja kwa sababu unaua battery yako. So, nina njia rahisi ya kufanya simu yako ikae na chaji siku nzima. Kabla sijakuonyesha, make sure umenifollow, umelike na kushare this video to your friends kwa sababu huwa tunapost tech tech kama hizi. Kwenye simu yako utafunga settings, then utabonyeza hapa kwenye general, then utatafuta sehemu imeandikwa background app refresh. Utabonyeza hapo, then utakuja hapa juu, utaweka off kama mimi. Usieke kwenye mobile data au kwenye Wi-Fi, utaweka off. Hii itaongeza battery performance. Yes. Kitu cha pili, cha pili kwenye general utakuja kwenye Apple Intelligence and Siri. Uta scroll down kama hivi utazima hizi hapa zote kwa sababu huwa zina update ambazo zina drain battery ya simu yako. Namba tatu utakuja kwenye privacy and security, then kwenye location services. Uta scroll down kama hivi kwenye system services. Then utascroll down, utazima hizi zote hizi. Yes, mpaka hapo utakuwa umeongeza performance ya betri yako na simu yako itakaa chaji masaa matatu zaidi ya ilivyokuwa inakaa.